|
Somo La Kumi Na Saba |
|
|
Sura nyingine tukufu sana katika Kuruani ni Sura ya
yaani ya Mtakaso, kumtakasa Mwenyezi Mungu na kila ushirikina. Hii ni sura
fupi mno, lakini inakata mzizi wa kumshirikisha Mwenyezi Mungu wa pekee na chochote.
|
Kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema Mwenye kurehemu |
|
|
|
|
|
1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu mmoja tu |
|
|
2. Mwenyezi Mungu Mhitajiwa milele |
|
|
|
|
|
|
![]() |
Tumesema kuwa baada ya masomo kumi na tano mtu anaweza kusoma popote katika Kuruani.
Jaribu kusema Aya hii kutoka:

|
Kauli njema na kusamehe ni bora kuliko sadaka inayofuatishwa na maudhi. Na Mwenyezi Mungu ndiye Mkwasi na Mpole. |
|
Na jaribu kusoma na kuifahamu Aya hii ya

|
Mwenyezi Mungu hapendi kutoa maneno ya kutangaza ubaya ila kwa yule mwenye kudhulumiwa na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kusikia, Mjuzi. |
|
Kabla ya kumaliza mafunzo ya kijitabu hichi yafaa tuzinduane juu ya alama za
kusita katika kusoma: Yafaa kusita mwisho wa kila Aya. Na mwisho wa Aya unaonyeshwa
kwa alama ya duara (3) .
Unaweza kusita kila penye alama hizi:
Ama ukiona imeandikwa
basi kusita ni lazima.
ukiona imeandikwa
basi hapana ruhusa kusita hapo.
Mwanzo wa Sura kadhaa wa kadhaa huanziwa kwa harufi za "alifbete", na hizo hutamkwa
harufi moja moja. Harufi hizo hazitiwi Irabu, laklni hutiwa harufi ya kuvuta -
MAADA ikihitajiwa . Nazo ni:
Husomwa
Husomwa
Husomwa
Husomwa
Husomwa
Husomwa
Husomwa
Husomwa
Husomwa
Husomwa
Husomwa
Husomwa
Husomwa
Husomwa